🔥Gachagua ACHUKUA Usukani Ol Kalou! Je, Huu ni Mwisho wa Ushawishi wa Ruto Mlimani? | Sikiliza TV Ep 30 Swahili 🇰🇪
Karibuni kwenye Kipindi cha 30 cha Sikiliza TV, ambapo tunazama ndani ya siri za mamlaka na mienendo ya siasa za Kenya.
Katika mazishi ya hivi majuzi ya mbunge wa Ol Kalou, David Kiaraho, ulimwengu ulishuhudia kile ambacho wengi wanakiita "Kishindo cha Gachagua." Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua hakuishia tu kutoa hotuba, bali alionekana kudhibiti ground, kuwazuia polisi, na kuamrisha umati kwa namna ambayo imeacha maswali mengi kuhusu nafasi ya Rais William Ruto na Naibu wake, Kithure Kindiki.
Kwenye uchambuzi wa leo, tunajadili:
✅ Je, Gachagua amemfunika Rais Ruto kule Mlima Kenya?
✅ Kimya cha Kithure Kindiki kina maana gani kwa safari ya 2027?
✅ Nadharia zinazoendelea mitandaoni kuhusu ushirikiano wa Gachagua na Uhuru Kenyatta.
✅ Masharti magumu ya Gachagua kuelekea umoja wa eneo la Mlima.
Usiache kutuambia maoni yako:
Je, Gachagua amemfunika Ruto kulingana na picha za Ol Kalou?
Je, unadhani Mlima Kenya imeshaamua kufuata mwelekeo tofauti na serikali ya sasa?
Unatutazama ukiwa kaunti gani leo?
🔔 JIUNGE NA FAMILIA YETU: Kama unatazama Sikiliza TV kwa mara ya kwanza, bonyeza SUBSCRIBE na uwasishe kengele ya arifa ili usipitwe na uchambuzi wetu wa kila wiki. Kwa watazamaji wetu waaminifu, asante kwa kuendelea kusubscribe na kuunga mkono kazi yetu!
👍 LIKE | SHARE | SUBSCRIBE
#SikilizaTV #Gachagua #Ruto #PoliticsKE #MtKenya #OlKalou #KithureKindiki #SiasaZaKenya #2027Galoos #KenyaNews